GuidePedia

0
 
Mshindi wa tuzo tatu za Channel O,staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akizungumza na waandishi wa habari jana,Escape One,Mikocheni,jijini Dar baada ya kutua kutoka nchini Afrika Kusini.


 Mmoja wa mameneja wa Diamond,Mkubwa Fella akizungumza na waandishi wa habari na mashabiki waliofika kumpokea Diamond akitokea nchini Afrika Kusini kwenye tuzo za Channel O.


Post a Comment

 
Top