Ukipenda kuongea na watu, kwa
kweli utapata mengi sana na utaongeza maarifa. Huu ni ukweli nilioufanyia
mahojiano na wanaume mbali mbali ambao hawajaoa. Wanadai ya kwamba msichana
anayejiamini sana kupita kiasi ana safasi ndogo sana ya kuolewa. Kwa sababu
wanaume waliowengi hujisikia wanyoge sana kwenye ndoa, wanawake wanapokuwa wao
ni kama watawala katika familia na wenye maamuzi(tena wanawake kama hao
wanakiburi sana, kutokana na kujiamini kwao.)
Wanaume walioa wanawake
wanaojiamini kupita kiasi, wanadharaulika sana mbele ya jamii.
Wasichana kazi kwenu mnaotaka
kuolewa.
Post a Comment