Ushindi wa tuzo tatu za Channel O
2014 alizochukua Mtanzania Diamond Platnumz umekua mkubwa sio tu kwa Tanzania
bali Afrika na kona zake ambapo miongoni mwa walioandika baada ya Diamond
kushinda ni Davido.
Msanii huyu wa Nigeria ambae
alifanya remix ya number one ya Diamond aliandika kwenye page yake ya instagram
>>> TANZANIA STAND UP! HE DID IT na kisha akammention
Diamond Platnumz.
Kwenye post hii ya Davido ambae
hakupata tuzo yoyote ya Channel O japo alikua anawania, imepata likes zaidi ya
elfu kumi na nne kutoka kwa followers wake ambao ni zaidi ya laki nne huku
comments zikiwa ni zaidi ya mia saba.
Post a Comment