GuidePedia

0
Baada ya Diamond kupata tuzo tatu usiku wa kuamkia leo, madam Wema Sepetu ktk page yake ya instagram hakusita kumpongeza kwa kuandika:

"Good night Instagramers pongezi nyingi zimuendee kaka Plutnumz kwa kupata tuzo"
 Hii ni muendelezo wa series zao za mapenzi ktk kuachana na kurudiana.

Diamond aliongizana na mama yake pamoja na mpenzi wake mpya Zari, ktk khafla hiyo ilihudhuliwa pia na Vannesa Mdee, madam Rita na Salama Jabry.

Post a Comment

 
Top